Friday, July 22, 2016

MUIGIZAJI KUNDAMBANDA AFARIKI DUNIA

Muigizaji ISMAIL ISSA MAKOMBE amefariki dunia usiku wa jana huko kwao mtwara baada ya kusumbuliwa na matatizo ya tumbo kwa muda mrefu Akiongea muigizaji mwenzake MKONO WA MKONOLE amethibitisha kutokea kwa kifo
cha muigizaji mwenzao “Kweli ndugu yetu ametutoka na kwa taarifa zisizo rasmi kesho wanazika, lakini sisi kama wasanii wa vichekesho leo jioni tunakutana na kupanga jinsi ya kuweza kuhudhuria mazishi ya ndugu yetu,” alisema Mkonole MUNGU AILAZE MAHALI PEMA ROHO YA MAREHEMU
Share This
Previous Post
Next Post

Ajiraperfect provides a full online service for anyone looking for a new jobs everyday. We're not a recruitment agency,insteady it is JOB SITE.We advertise Latest job vacancies on behalf of employers and recruitment agencies who are looking for Employee

0 coment�rios: