Kundi la hiphop linaloundwa na wasanii watatu akiwemo JOHMAKINI,NIKI WA PILI, NA G NACKO wamesema mipango yao ya mwaka huu na ile ya mwakani.Wamesema wana mpango wa kufungua ofisi na studio yao wakiwa kama kundi
("Tuna mpango wa kuwa na studio pamoja na ofisi. Hii ndiyo mipango ya
mwaka huu na mwakani,” amesema Nick wa Pili kwa niaba ya Weusi.")
0 coment�rios: